Template:Appeal/default/sw: Difference between revisions
Content deleted Content added
No edit summary |
Seddon (WMF) (talk | contribs) No edit summary |
||
Line 1:
Google
Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni
▲Google ina mashine za seva milioni 1, Yahoo wana wafanyakazi 13,000. Sisi katika Wikipedia tuna seva 679 na wafanyakazi 95 pekee.
Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa
▲Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 470 hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu.
Wikipedia ni kitu maalumu. Ipo kama maktaba au mahali pa umma. Pako kama hekalu la maarifa. Ni mahali ambapo wote twaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, na kuwagana maarifa yetu na wengine.
▲Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa Wikipedia hatutaki kufanya hivyo.
Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine!
Kama kila msomaji angetoa
Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa {{AppealAmountSwitch|language=sw|country={{{country}}}|amount=all|dola
Ahsante sana,
'''Jimmy Wales''' <br/>
|