Template:Appeal/default/sw: Difference between revisions

Content deleted Content added
Jsoby (talk | contribs)
m 1 revision: importing ready appeals
Jsoby (talk | contribs)
m Robot: Automated text replacement (-450 +470)
Line 12:
Google ina mashine za seva milioni 1, Yahoo wana wafanyakazi 13,000. Sisi katika Wikipedia tuna seva 679 na wafanyakazi 95 pekee.
 
Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 450470 hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu.
 
Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa Wikipedia hatutaki kufanya hivyo.