Template:Appeal/default/sw: Difference between revisions
Content deleted Content added
m 1 revision: importing old Jimmy translations for languages that don't have the new one translated |
m cleanup |
||
(13 intermediate revisions by 5 users not shown) | |||
Line 1:
== Maombi kutoka kwa Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia. ==
Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa si mahala pake. Siyo katika Wikipedia.
Wikipedia ni kitu maalumu.
Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine!
▲Wikipedia ni kitu maalumu. Ni kama maktaba au hifadhi ya umma. Ni kama vile hekalu kwa ajili ya mawazo. Ni mahali ambapo wote tunaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, kupeana maarifa yetu na wengine. Ni mradi wa kipekee wa kibinadamu, wa kwanza katika historia ya mwanadamu. Ni mradi wa kibinadamu unaoleta kamusi elezo huru kwa kila mtu katika dunia.
Kama kila msomaji angetoa {{AppealAmountSwitch|language=sw|country={{{country}}}|amount=$5|$5}} kila mwaka kwa matumzi yake ya Wikipedia tusingehitaji kuomba kitu. Lakini si wote wanaoweza au wanaotaka kujitolea kwa njia hii. Hata hivyo tumepata wasaidizi wa kutosha hadi sasa.
Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa {{AppealAmountSwitch|language=sw|country={{{country}}}|amount=all|dola 5, 10, 100}} au jinsi unavyoweza. Tuendelee kujenga Wikipedia.
Ahsante sana,▼
▲Ahsante,
'''Jimmy Wales'''▼
▲'''Jimmy Wales''' <br>
Mwanzilishi wa Wikipedia
|